Home Downloads Library Login
Premium
2 min read

Aina za shamirisho

SHAMIRISHO Shamirisho ni nomino ambayo huashiria kitendwa/mtendwa au kitendewa/mtendewa katika sentensi. Nomino hii huweza kuambatana na kivumishi/vivimushi. Aina za shamirisho Kuna aina tatu za shamirisho Shamirisho kipozi/yambwa tendwa Shamirisho kitondo/yambwa tendewa/yambiwa...

KES 10 One-time access
Unlock
Free
1 min read

Matumizi ya a-unganifu

UAMILIFU WA A-UNGANIFU A-unganifu huwa na matumizi mbalimbali katika lugha ya Kiswahili. Sehemu hii katika sentensi huunda kirai kihusishi kwani neno kuu huwa ni kihusishi Mfano Nyumba...

Free Access Read Now
Premium
2 min read

Aina za Virai

Maana ya kira Kirai ni neno au fungu la maneno ambalo halina maana kamili. Pia ni sehemu ya sentensi ambayo haina muundo wa kiima kiarifu Sifa...

KES 10 One-time access
Unlock
Free
1 min read

Vivumishi ya pekee

Vivumishi vya pekee huwa sita. Kila kivumishi katika kundi hili huwa na matumizi ya kipekee Aina ya vivumishi vya pekee 1. enye2. enyewe3. ote4. o-ote5.ingine6....

Free Access Read Now
Premium
3 min read

Sifa za Wahusika

ufafanuzi wa sifa hizi ambazo mara nyingi hutumiwa kuelezea wahusika katika fasihi ya Kiswahili: Sifa Hasi (Tabia Mbaya) Mzinifu: Mtu anayeshiriki vitendo vya ngono nje...

KES 10 One-time access
Unlock
Free
1 min read

Mbinu za Kukusanya Fasihi Simulizi

Mbinu hizi zinaweza kutumika katika ukusanyaji wa fasihi simulizi kwa jumla. Ufafanunuzi utategemea utanzu/kipera husika. Utazamaji wa kushiriki au kutoshiriki.Mtu anaweza kushiriki katika kikao cha utamkaji wa...

Free Access Read Now
Premium
3 min read

Ngeli za Kiswahili

Ngeli ni mpangilio wa nomino katika makundi. Mpangilio huu ni muhimu sana katika lugha ya Kiswahili kwani husaidia katika upatanisho wa nomino na vitenzi na maneno...

KES 10 One-time access
Unlock
Free
3 min read

How to speak Swahili fluently

Most Swahili learners find it difficult to express themselves in fluent Swahili. This article will discuss different methods that you can use to overcome this...

Free Access Read Now
Free
1 min read

Vitenzi Halisi

Maana Vitenzi halisi huashiria kutendeka kwa kitendo. Kitendo hiki huweza kukanushwa pia(kutotendeka) Mifano katika sentensi sahili Paula anosoma riwaya. Wananchi hawajapiga kura. Gari hilo limenunuliwa leo. Mgeni hatakuja leo. Yeye atachelewa sana Mifano katika sentensi ambatano Yeye amejificha lakini mlinzi amemuona....

Free Access Read Now
Free
1 min read

Matumizi ya kiambishi “na”

Kiambishi kina matumizi yafuatayo katika lugha ya Kiswahili. Kuonyesha wakati uliopo/wa sasa Mfano: Rais anahutubia wananchi. Omondo anapiga simu. Kiunganishi (Kuunganisha maneno, virai, vishazi,sentensi) Mfano: Joseph na Maria wamechguliwa....

Free Access Read Now