Umuhimu wa maswali balagha katika fasihi
Maswali ya balagha ni maswali ambayo hayahitaji jibu moja kwa moja. Yanaweza kutumika kuchochea fikira, kusisitiza hoja, au kuonyesha hisia fulani. Umuhimu wa maswali balagha...
Maswali ya insha
Makala haya yanatoa mifano miwili ya insha za Kiswahili zilizofanyiwa utafiti wa kina Andika insha MBILI. Insha ya KWANZA ni ya LAZIMA. Chagua insha moja...
Kutambua aina ya shairi
Namna ya Kutambua Aina ya Shairi Uchambuzi wa shairi kuhusu uzalendo, umoja na amani. Makala haya yanajumuisha maswali na majibu kuhusu muundo, mbinu za lugha,...
Namna ya kulezea mandhari
Mandhari Katika Fasihi MAANA Ni sehemu ambapo au mazingira ambako matukio ya hadithi au masimulizi yanafaanyika. Kazi ya fasihi hujengwa katika mazingira maalum ambayo huitwa...
Viambishi
Makala haya yanatoa ufafanuzi kamilu kuhusu viambishi. Maana ya kiambishi Ni mofimuinayoongezwa kabla au baada ya mzizi wa neno ili kuleta maana iliyokusudiwa. Kiambishi ni kipande cha neno chenye maana ya...
Matumizi ya viambishi na maneno maalumu
Viambishi maalumu huwa na matumizi ya kipekee katika neno au sentensi. Hapa chini tutachambua aina za viambishi maalumu na mifano yake. 1. Kiambishi ‘ni’ a) Nafsi ya...
Alama za uakifishaji
Alama za uakifishaji hutumika katika maandishi ili kufafanua maana, kutenganisha mawazo, na kupanga sentensi. Zinasaidia wasomi kuelewa jinsi sentensi inavyopaswa kusomwa, kama ni swali, taarifa,...
Usambamba katika fasihi
Usambamba ni urudiaji wa sentensi zenye miundo sawa katika fasihi au mishororo yenye mpangilio unaofanana katika shairi. Hili huleta mtiririko mzuri, urari wa mawazo, na...