Premium Content 2 min read

Visasili

Visasili na hadithi ambazo huelezea chanzo cha jambo au tukio fulani katika jamii. Aghalabu,huandamana na imani za kidini za kijamii. Mfano wa kisasili Hapo zamani za kale, wakati dunia ilikuwa bado changa, kulikuwa na Mungu mmoja aitwaye Mumba, ambaye ndiye aliyetengeneza kila kitu kilichoonekana...

Login to Read More

Create an account to access our library of professional Swahili lessons.

Login / Sign Up