Uchanganuzi wa sentensi changmano: Matawi
Kielelezo cha Kistari/Mstari Hii ni mbinu ya kimsingi ya kuchanganua sentensi. Mwanafunzi akielewa mbinu hii vizuri atakuwa na msingi mzuri wa kuchanganua sentensi yoyote kwa kutumia mishale,matawi na jedwali....
Mada za Isimujamii
ISIMUJAMII Mwongozo kamili wa mada muhimu zinazotahiniwa katika Isimujamii. Mada Zinazotahiniwa Maana ya lugha. Sifa za lugha. Dhima na majukumu ya lugha. Kaida na...
Mandhari katika fasihi
Mandhari Katika Fasihi: Nguzo ya Hadithi Uchambuzi wa kina kuhusu mandhari Maana ya Mandhari Katika ulimwengu wa fasihi, Mandhari (kwa Kiingereza Setting) si tu mahali...
Uchanganuzi wa Sentensi sahili kwa kielelezo cha mstari
Maana ya Sentensi Sahili Sentensi Sahili ni sentensi yenye wazo moja au dhana moja pekee. Huweza kuwa na neno moja pekee (kitenzi). Huweza kuwa na...
Aina ya Mishororo katika shairi
Aina ya Mishororo 1. Mishata Ni mshororo katika ubeti wa shairi ambao haujakamilika kimaana na hutegemea mwingine unaofuata ili kupitisha ujumbe kamili. Sifa za mishororo...
Maana ya sentensi sahili
Sentensi ni neno au kifungu cha maneno chenye ujumbe kamili. Katika lugha ya Kiswahili kuna aina tatu za sentensi kimuundo. Sentensi sahili sentensi ambatano sentensi changamano...
Jedwali la Konsonanti za Kiswahili
Jedwali lifuatalo ni muhimu sana katika kuelezea uainishaji wa konsonanti za Kiswahili. Kutokana na jedwali hili tunaweza kutambua mambo yafuatayo; Mahali konsonanti hutamkiwa. Ni ghuna...
Maana ya mzizi wa neno
Dhana ya mzizi wa neno Tunaposikia neno mzizi jambo la kwanza ambalo hutujia akilini ni sehemu fulani ya mti.Mti husimama na kukua kwa sababu umeshikiliwa...
Aina za maigizo katika Fasihi Simulizi
AINA ZA MAIGIZO Makala haya yanafafanua aina kuu za maigizo, wala si vipera vya maigizo. Maigizo ni utanzu muhimu sana katika Fasihi Simulizi. Watendaji huweza...