Premium Content 1 min read

Maana ya sentensi sahili

Sentensi ni neno au kifungu cha maneno chenye ujumbe kamili. Katika lugha ya Kiswahili kuna aina tatu za sentensi kimuundo. Sentensi sahili sentensi ambatano sentensi changamano Leo tutazungumzia sentensi sahili.Sentensi sahili huwa na kishazi huru kimoja,kwa hivyo inaeleza dhana moja...

Login to Read More

Create an account to access our library of professional Swahili lessons.

Login / Sign Up