Premium Content
2 min read
Uchanganuzi wa Sentensi sahili kwa kielelezo cha mstari
Maana ya Sentensi Sahili
Sentensi Sahili ni sentensi yenye wazo moja au dhana moja pekee.
Huweza kuwa na neno moja pekee (kitenzi).
Huweza kuwa na kitenzi halisi pekee au kitenzi kisaidizi na kitenzi kikuu.
Vifupisho vya Uchanganuzi
S: Sentensi
KN: Kundi Nomino
KT:...
Login to Read More
Create an account to access our library of professional Swahili lessons.
Login / Sign Up