Kiswahili
Simplified

Your premier destination for Swahili mastery. Experience real-world learning through expert-led insights and an effortless path to absolute fluency.

Free
Premium
M-Pesa

Latest Lessons

Free
3 min read

Namna ya kutambua sifa za wahusika katika fasihi

1.Maelezo ya mwandishi Waandishi mara nyingi hutaja sifa za wahusika moja kwa moja au kwa njia ya maelezo. Shogake Dada ana Ndevu-Alifa Chokocho Safia Ni...

Free Access Read Now
Premium
5 min read

Dhana ya mofimu

Mofimu Karibuni katika kipindi cha leo ili tujifunze aina, mifano na matumizi ya mofimu katika lugha ya Kiswahili. Mofimu ni nini? Mofimu ni kipashio kidogo...

KES 5 One-time access
Unlock
Premium
2 min read

Uhuru wa Mshairi

Mtunzi wa shairi amekubaliwa kutumia lugha namna anavyotaka wakati anatunga shairi.Anaweza kukiuka kanuni ambazo hutawala sarufi. Uhuru huu humsaidia kukidhi mahitaji ya kiarudhi kama vile urari wa...

KES 10 One-time access
Unlock
Premium
2 min read

Sentensi Ambatano Changamano

Aina za Sentensi: Ambatano Changamano Uchambuzi wa kina wa sentensi zenye vishazi huru na tegemezi. Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu sentensi ambayo ni ambatano lakini...

KES 10 One-time access
Unlock
Premium
2 min read

Aina na miundo ya silabi

Silabi katika Kiswahili Silabi ni kipashio kinachotamkika ambacho hujumuisha sauti moja au zaidi zinazotamkwa mara moja kama fungu moja la sauti. Aina za Silabi Katika...

KES 10 One-time access
Unlock
Premium
2 min read

Sentensi Ambatano

MAANA : Sentensi ambatano ni sentensi ambayo ina vishazi huru viwili au zaidi. Kishazi huru huwa na maana kamili. Kikiondolewa katika sentensi kuu huwa kina maana iliyokamilika. Mara...

KES 10 One-time access
Unlock
Free
1 min read

Methali Tamu za Kiswahili

Top 10 Swahili Proverbs   Gundua utajiri wa lugha ya Kiswahili kupitia methali hizi maarufu zinazotoa mafunzo, busara, na maonyo kuhusu maisha. 1. Haraka haraka...

Free Access Read Now
Free
2 min read

Common Swahili Phrases used in Kenya

Beware of the following Kiswahili phrases 1.Nitakupigia You will wait forever. 2.Nakuja Kenyans say this while they’re leaving. 3.Si mbaya saana Somebody is not satisfied...

Free Access Read Now
Free
1 min read

Uainishaji wa irabu

SAUTI Maana: Sauti ni mlio unaotokana na mgusano wa ala za kutamkia wakati wa kuzungumza Aina za sauti Sauti za lugha ya kiswahili zimegawika katika makundi...

Free Access Read Now