Premium Content 2 min read

Sentensi Ambatano

MAANA : Sentensi ambatano ni sentensi ambayo ina vishazi huru viwili au zaidi. Kishazi huru huwa na maana kamili. Kikiondolewa katika sentensi kuu huwa kina maana iliyokamilika. Mara nyingi sentensi ambatano  huwa na kiunganishi. Kiunganishi hiki hutumiwa kuziunganisha vishazi...

Login to Read More

Create an account to access our library of professional Swahili lessons.

Login / Sign Up