Jedwali lifuatalo ni muhimu sana katika kuelezea uainishaji wa konsonanti za Kiswahili.
Kutokana na jedwali hili tunaweza kutambua mambo yafuatayo;
- Mahali konsonanti hutamkiwa.
- Ni ghuna au sighuna
- Namna hewa inavyobanwa.
Kumekuwa na mjadala kuhusu sauti /j/. Je,ni kipasuo au kipasuo-kwamizwa? Swali hili litajibiwa katika makalo yatakayofuata.

uainishaji wa konsonanti
H- hafifu/sighuna
Gh- ghuna
