Methali ya Leo Leave a reply Methali: Ajizi ni nyumba ya njaa Ajizi : uzembe/uvivu Maana: uvivu husababisha njaa Matumizi: Methali hii inaweza kutumiwa kwa mtu ambaye analalamika kuwa ana taabu/njaa ingawaje yeye ni mvivu. Share this;