Tag Archives: ghuna

Jedwali la Konsonanti za Kiswahili

Jedwali lifuatalo ni muhimu sana katika kuelezea uainishaji wa konsonanti za Kiswahili.

Kutokana na jedwali hili tunaweza kutambua mambo yafuatayo;

  1. Mahali konsonanti hutamkiwa.
  2. Ni ghuna au sighuna
  3. Namna hewa inavyobanwa.

Kumekuwa na mjadala kuhusu sauti /j/. Je,ni kipasuo au kipasuo-kwamizwa? Swali hili litajibiwa katika makalo yatakayofuata.

 

uainishaji wa konsonanti

H- hafifu/sighuna

Gh- ghuna

Share this;