Kamusi za Kiswahili Mtandaoni
Lugha ya Kiswahili inaendelea kukua kwa kasi.Hivi sasa inatumika mtandaoni sana. Kuna tovuti nyingi ambazo zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Pia,lugha hii imeongezwa katika tovuti ya google translate.
Kuna aina nyingi za kamusi mtandaoni, kuna kamusi za lugha mbili au zaidi ,kwa mfano : Kiswahili-Kiingereza. Vilevile kuna kamusi ya lugha moja, Kiswahili pekee.
Google Translate
Lengo kuu la tovuti hii ni kuatafsiri maneno,sentensi na makala katika lugha mbalimbali mojawapo ikiwa lugha ya Kiswahili.Unaweza kutafsiri maneno kutoka lugha chanzo kama vile, Kiingereza,Kichina,Kifaransa,Kinyarwanda.

Online Swahili English Dictionary
Hapa utapata Kamusi ya Kiswahili-Kiimgereza.
Fungua africanlanguages Swahili-English dctionary.
Bab.la
Hii ni kamusi nyingine ya English-Kiswahili au Kiswahili-English.
Fungua Bab.la Swahili-English dctionary.
Glosbe
Globse pia ni kamusi ya lugha mbili,Swahili-English
Fungua Glosbe Swahili-English dctionary.

Nataka kamusi