
Maana ya kiambishi
- Ni mofimuinayoongezwa kabla au baada ya mzizi wa neno ili kuleta maana iliyokusudiwa.
- Kiambishi ni kipande cha neno chenye maana ya kisarufi ambacho huongezwa kabla au baada ya mzizi wa neno ili kuleta maana iliyokusudiwa.
Aina za Viambishi
Kuna aina mbili za viambishi
- Kiambishi awali
- Kiambishi tamati

Mzizi ni sehemu ya neno ambayo huongezwa viambishi.
Mfano:
- Wa-tu / m-toto :(nomino)
- A-na-chez-a/ a-ta-pik-a :(kitenzi)
Viambishi awali hutumika kuonyesha:
- Ngeli
- Kiima/mtenda
- Nafsi
- Wakati
- Yambwa(mtendwa/ mtendewa)
- Hali (timilifu/mazoea/isiyod hihirika/masharti)
- Kirejeshi
- Kikanushi
- Umoja/wingi
- Ukubwa/udogo wa nomino
Mifano ya Vikanushi

Dhima ya viambishi tamati
Viambishi tamati hutumika kuonyesha:
- kirejeshi
- kiulizi
- Kauli/mnyambuliko
- Kiishio
- Uundaji wa nomino

Kubainisha viambishi





Zoezi
a)Onyesha viambishi awali na viambishi tamati
b) Bainisha majukumu ya viambishi ulivyotambua
- ViatuWalipochezaTegewaHakumpigaAnyweshavyoAlimdharau
- jigari
- Viatu: awali; vi
- Walipocheza- awali:wa,li,po tamati: a
- Tegewa: – tamati: ew, a
- Hakumpiga- awali:ha,ku,m tamati: a
- Anyweshavyo- awali: a tamati:esh, a, vyo
- alimdharau- awali:a,li,m
- jigari: awali; ji